Verse 3 ! Jay Moe Ah!...ah!...ah! Mpenzi zeze vipi sema basi unanikataa Mpenzi zeze sema basi kabla haijawa balaa Usiniletee mapoozi njoo kwa mwanasanaa Punguza gozi gozi machizi watakushangaa Kama unanipenda njoo uniimbie rarabae Njoo upige zeze tucheze tupaff tuwe high Wanga wakisema nadhani usiku watalala Zeze anapigiwa mjanja zeze hapigiwi fala Kama unanipenda kaninunulie sio hatari Kama upo tayari twende home kajivinjari Jaymo na TID ndani ya sauti ya dhahabu Ni so ongeza bidii wewe kwangu nd'o jibu Кама wanipenda Kaninunulie Zeze Nikilala kitandani Зезе lanibembelezaa