Nasha Travis все тексты (слова) песен, переводы, видео, клипы
- Na Iwe
Penzi la vituko na vita kila siku siliwezi bana
naogopa
MI Sina speed ya mapenzi na sio mtu WA kushoboka
Nataka penzi lilo lainika yani penzi lilonyooka
nikipenda na penda kweli na siezangi kuponyoka
Nishazoea mabusu yakunipoza
Chumbani mautundu nikuchokozwa
- Nioneshe
I don't wanna make you wait,
l don't wanna make you wait babey
Staki nikurupuke, nataka unikumbuke daily
Mahaba yamezidi, nimechizi, umeniroga mbona
Mapenzi ya TV, kama ivi siku ya ona mbona